Habari ya majukumu wadau,
Niwapongeze kwa kuendelea kupambana na majukumu mbalimbali katika kuendeleza shughuli za kilimo na mifugo, nawapongeza kwa sababu kutokana na changamoto mbalimbali zinazokikabili kilimo lakini bado watu tunapambana nazo na kuweza kufikia malengo (kwa uhakika yatubidi tuweze kuimarika sana na tusiweze kata tamaa bali tupambane).
BENETHAJMM BLOG
Tuesday, April 2, 2019
Sunday, November 26, 2017
Habari wadau karibu tupate mambo mbalimbali, leo napenda tuangalie kuhusu uyoga.
uyoga ni aina ya nyama nyeupe ambayo ina umuhimu mkubwa katika mwili wa binadamu, kwani una madini mengi yanayopatikana katika chakula hiki. uyoga upo aina mbili aina ya kwanza ni wa porini na aina ya pili ni ule unaopandwa. makala hii itaendelea kesho....
Thursday, November 9, 2017
Habari,
napenda kuwakumbusha wazalishaji wa mazao mbalimbali na wafugaji, pia na wale wanaopenda kuanza uzalishaji wowote ule kuwa msimu wa kilimo sasa ndio umeanza yatubidi kuandaa mashamba kwa wakati na kupanda kwa wakati ili kuendana na msimu wa mvua yote hayo yakiwa yanafanyika bila kusahau kupata taarifa kutoka kwa Mamlaka ya Hali ya Hewa kwa taarifa zaidi juu ya mvua zinazoendelea na kuendana na msimu husika,
Niwapongeze wale wote walioanza kuandaa mashamba.
Tutaendelea kujuzana kwa kila hatua ili tuweze kufikia lengo katika kuendeleza kilimo katika Nchi yetu na Dunia yote kwa ujumla.

Wednesday, July 22, 2015
Habari wadau,
Ule msimu wa nanenane umeshawadia kwani zimesalia siku tisa (9) tu maonesho ya mwaka 2015 yaanze kwa siku kumi mfululizo.
wale wanaopenda kujifunza na wanaopenda kuonesha ujuzi na fani walizonazo wawe tayari kwenda kubadilishana ujuzi katika viwanja husika ili kupata mafunzo mengi, nawahamasisha watu wote tujijengee kwenda katika viwanja hivi ili tujifunze mambo mbalimbali.
Kwa upande wa wataalamu wa mambo mbalimbali waweze kuwaelekeza watu wanaofika maeneo hayo ili wawajuze watu hao mambo waliyonayo na kuweza kuwafanya watu waweze kuondokana na hali duni katika maisha naamini wataalamu wana uwezo huo kwa jamii husika.

Monday, February 16, 2015
Moja ya wanyama wanaofugwa kwa wingi katika mkoa Mbeya kwani ufugaji wake ni rahisi, kaya mbalimbali zimeweza kujikimu kupitia mnyama huyu na hata wafanyabiashara mbalimbali wa nyama wameweza kuinuka kupitia mnyama huyu.
Location:Africa, Russia, Europe, America
Mbeya, Tanzania
Saturday, September 6, 2014
HALI YA NANE NANE
2014.
Kwa hali ya kawaida maonesho ya Nane Nane katika Taifa letu hili yanaashiria changamoto nyingi hususani kwa Wakulima na Wafugaji kwasababu walio wengi ambao wanatembelea sehemu husika wanabadilishana maarifa katika kada mbili hizi kwani wafugaji wanapata kitu kutoka kwa wakulima na wanahamasika kwa hali ya juu sana, pia wakulima nao wanapata maarifa kutoka kwa wafugaji na uelewa unaongezeka sana.

Kwa mtu yeyote aliyetembelea au ambaye anapenda kutembelea maonesho haya atakiri kuwa ni kweli kabisa sababu kuna watu wanahamasishwa kulima na wengine kufuga, nyanja zote hizi mbili ni kitu muhimu kwa binadamu kwani huweza kumfanya mtu aweze kuishi kwasababu binadamu yeyote yule anastahili kula na chakula hicho kinapatikana katika maeneo haya mawili (ufugaji na ukulima).
Bustani ya mboga mbali mbali |
Nyanya zilizostawi vizuri |
Nikitathimini uoteshaji wa mazao mbali mbali husani Nyanya ndani ya Green House katika viwanja vya John Mwakangale (Nane nane Mbeya 2014) |
Napenda kuwashawishi watu walio wengi kulima na kufuga kwa hali na mali kwani Kilimo sasa ni biashara na sio kulima kwa mazoea tu. Tujitahidi kwa kuweza kujikita katika nyanja mbili hizi. Ahsanteni |
Tuesday, March 18, 2014
UFUTA
Ni zao ambalo ni miongoni mwa mazao yenye mafuta yanayopatikana hapa nchini kwetu, kwa ujumla mazao hayo yapo ya aina nyingi kama vile Karanga na Alizeti. Haya ni baadhi ya mazao yanayotupatia mafuta kwa wingi katika nchi yetu. Ushauri ni kwamba tuweze kulima kwa wingi ili tujikomboe na uhaba wa mafuta hususani yanayopatikana na mimea.
Iko mikoa baadhi ambayo inatuwezesha kulima zao hili kwa sababu hali ya hewa inaruhusu ulimaji wa zao hili kwani linahitaji hali isiyo ya baridi sana kama mazao mengine yanavyohitaji. Naomba tuweze kuweka nguvu katika kilimo ili kiweze kuinua uchumi katika nchi hii kwani tunasema kilimo ni mgongo wa Taifa lakini hatukipi nguvu kilimo.
mambo ambayo yanahitajika ili tuweze kuinuka katika kilimo ni
a) kipaumbele
b) uwajibikaji
c) ushirikishwaji kwa wadau wengine.
Naimani tukizingatia haya tutaweza kufanikiwa katika kilimo.

Subscribe to:
Posts (Atom)
Habari ya majukumu wadau, Niwapongeze kwa kuendelea kupambana na majukumu mbalimbali katika kuendeleza shughuli za kilimo na mifugo, nawapo...
-
Habari wadau karibu tupate mambo mbalimbali, leo napenda tuangalie kuhusu uyoga. uyoga ni aina ya nyama nyeupe ambayo ina umuhimu mkubwa k...
-
Moja ya wanyama wanaofugwa kwa wingi katika mkoa Mbeya kwani ufugaji wake ni rahisi, kaya mbalimbali zimeweza kujikimu kupitia mn...
-
NDIZI KUTOKA MBEYA. Moja ya mazao yapatikanayo katika Jiji la Mbeya, wakazi wa jiji hili hutumia zao hili ipasavyo kama chakula au tun...