Habari wadau,
Ule msimu wa nanenane umeshawadia kwani zimesalia siku tisa (9) tu maonesho ya mwaka 2015 yaanze kwa siku kumi mfululizo.
wale wanaopenda kujifunza na wanaopenda kuonesha ujuzi na fani walizonazo wawe tayari kwenda kubadilishana ujuzi katika viwanja husika ili kupata mafunzo mengi, nawahamasisha watu wote tujijengee kwenda katika viwanja hivi ili tujifunze mambo mbalimbali.
Kwa upande wa wataalamu wa mambo mbalimbali waweze kuwaelekeza watu wanaofika maeneo hayo ili wawajuze watu hao mambo waliyonayo na kuweza kuwafanya watu waweze kuondokana na hali duni katika maisha naamini wataalamu wana uwezo huo kwa jamii husika.
Wednesday, July 22, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Habari ya majukumu wadau, Niwapongeze kwa kuendelea kupambana na majukumu mbalimbali katika kuendeleza shughuli za kilimo na mifugo, nawapo...
-
Habari wadau karibu tupate mambo mbalimbali, leo napenda tuangalie kuhusu uyoga. uyoga ni aina ya nyama nyeupe ambayo ina umuhimu mkubwa k...
-
Moja ya wanyama wanaofugwa kwa wingi katika mkoa Mbeya kwani ufugaji wake ni rahisi, kaya mbalimbali zimeweza kujikimu kupitia mn...
-
NDIZI KUTOKA MBEYA. Moja ya mazao yapatikanayo katika Jiji la Mbeya, wakazi wa jiji hili hutumia zao hili ipasavyo kama chakula au tun...
No comments:
Post a Comment