Monday, March 17, 2014
Moja ya mazao yapatikanayo katika Jiji la Mbeya, wakazi wa jiji hili hutumia zao hili ipasavyo kama chakula au tunda. hupatikana hasa hususani katika wilaya ya Rungwe, Busokelo na Kyela hata katika baadhi ya maeneo mbalimbali katika jiji hili kwani hali ya hewa inaruhusu zao hili kustawi kwa uzuri zaidi na hata kwa uzalishaji mkubwa.
Location:Africa, Russia, Europe, America
Mbeya, Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Habari ya majukumu wadau, Niwapongeze kwa kuendelea kupambana na majukumu mbalimbali katika kuendeleza shughuli za kilimo na mifugo, nawapo...
-
Habari wadau karibu tupate mambo mbalimbali, leo napenda tuangalie kuhusu uyoga. uyoga ni aina ya nyama nyeupe ambayo ina umuhimu mkubwa k...
-
Moja ya wanyama wanaofugwa kwa wingi katika mkoa Mbeya kwani ufugaji wake ni rahisi, kaya mbalimbali zimeweza kujikimu kupitia mn...
-
NDIZI KUTOKA MBEYA. Moja ya mazao yapatikanayo katika Jiji la Mbeya, wakazi wa jiji hili hutumia zao hili ipasavyo kama chakula au tun...
No comments:
Post a Comment