Ni zao ambalo ni miongoni mwa mazao yenye mafuta yanayopatikana hapa nchini kwetu, kwa ujumla mazao hayo yapo ya aina nyingi kama vile Karanga na Alizeti. Haya ni baadhi ya mazao yanayotupatia mafuta kwa wingi katika nchi yetu. Ushauri ni kwamba tuweze kulima kwa wingi ili tujikomboe na uhaba wa mafuta hususani yanayopatikana na mimea.
Iko mikoa baadhi ambayo inatuwezesha kulima zao hili kwa sababu hali ya hewa inaruhusu ulimaji wa zao hili kwani linahitaji hali isiyo ya baridi sana kama mazao mengine yanavyohitaji. Naomba tuweze kuweka nguvu katika kilimo ili kiweze kuinua uchumi katika nchi hii kwani tunasema kilimo ni mgongo wa Taifa lakini hatukipi nguvu kilimo.
mambo ambayo yanahitajika ili tuweze kuinuka katika kilimo ni
a) kipaumbele
b) uwajibikaji
c) ushirikishwaji kwa wadau wengine.
Naimani tukizingatia haya tutaweza kufanikiwa katika kilimo.
Tuesday, March 18, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Habari ya majukumu wadau, Niwapongeze kwa kuendelea kupambana na majukumu mbalimbali katika kuendeleza shughuli za kilimo na mifugo, nawapo...
-
Habari wadau karibu tupate mambo mbalimbali, leo napenda tuangalie kuhusu uyoga. uyoga ni aina ya nyama nyeupe ambayo ina umuhimu mkubwa k...
-
Moja ya wanyama wanaofugwa kwa wingi katika mkoa Mbeya kwani ufugaji wake ni rahisi, kaya mbalimbali zimeweza kujikimu kupitia mn...
-
NDIZI KUTOKA MBEYA. Moja ya mazao yapatikanayo katika Jiji la Mbeya, wakazi wa jiji hili hutumia zao hili ipasavyo kama chakula au tun...
No comments:
Post a Comment